"Mimi sivuti bangi, ningetaka kuvuta ningefanya tangu zamani kwa sababu nilikulia mazingira ya hivyo na niliona madhara yake, nilijaribu mara moja nikawa nachekacheka tu nikaona hainikubali" - Dogo Janja
Aidha Dogo Janja ameongeza kuwa "Nisingekuwa mwanamuziki basi ningekuwa Mwakinyo fulani hivi au ningekuwa muhuni ambaye ningekuwa nimeshafukiwa, lakini sasa hivi nikiwa Arusha huwa nawatuliza vijana wenzangu wanaopanga uhuni"