Polisi wa Vietnam wanachunguza kiwanda ambacho kimebainika kukasanya mipira ya kiume (condom) zilizotumika na kuziosha kisha kuziweka tena kwenye pakiti zake na kuziuza kwenye Masoko mbalimbali ya Ndani na Nje ya Vietnam, tayari Polisi wamemkamata Pahm Thi Than, Mwanamke mwenye connection na wamiliki wa Kiwanda hicho, ambaye ni miongoni mwa waliopewa tenda ya kukusanya condom hizo na anasema analipwa pesa ndefu kwa kazi hiyo.
“Nikivuta pesa nawapoza wahudumu kwenye Hotel na Lodge ambako najua mzigo wa condom zilizotumika upo kwa mwingi na wananipatia, kadri Watu wanavyoongeza