Waziri wa Madini Tanzania Dotto Biteko ametangaza good news ya kupatikana kwa jiwe jingine kubwa la Madini aina ya Spinel ambapo limepatikana kupitia kwa Wachimbaji wa madini wa Mahenge.
Biteko ameandika kwenye ukurasa wake wa Twitter “Hongereni sana Wachimbaji Mahenge, hili jiwe kubwa la Spinel limepatikana tena, JPM alisema ni wakati wenu, Asanteni sana kwa kuchapa kazi.. JPM2020 #KaziIendelee”