Kituo chetu cha Uwekezaji kimesajili miradi 16 kutoka Burundi na kimetoa ajira kwa zaidi ya Watu 544- JPM



Biashara kati ya Tanzania na Burundi zimeanza kuongezeka kwenye Mwaka 2016 Biashara kati ya Nchi hizi mbili ilikuwa Bilioni 115.15 sasa hivi Biashara kati ya Nchi hizi mbili zimeongezeka na kuwa zaidi ya Bilioni 200.1” Rais MAGUFULI

“Kituo chetu cha Uwekezaji kimesajili miradi 16 kutoka Burundi yenye thamani ya USD Milioni 29.42 na imetoa ajira kwa zaidi ya Watu 544, pia tuna taarifa kwamba zaidi ya Makampuni 10 kutoka Tanzania yamewekeza Burundi, baadhi ni Azam LTD, CRDB N.K” Rais MAGUFULI

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad