Kwanini Wanawake Wengi Wakishajifungua Wanakuwa Rahisi Kuchukuliwa na Vidume?

Kwanini Wanawake Wengi Wakishajifungua Wanakuwa Rahisi Kuchukuliwa na Vidume?


Katika pita pita zangu wale wadada Baadhi sio wote wanajidai wana misimamo wanapozalishwa na wanaume na kuachwa alone huwa wanashuka chini na inakuwa rahisi kupiga sound ya kawaida na kuchukua mzigo ila kipindi kabla ilikuwa hata kusalimia watu ni tabu kwake.

Najiuliza kwa nini hulainika na kuwa na heshima pindi wanapo zalishwa?
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad