Maafisa waliohusika na ufisadi wa vifaa vya corona Kenya kushtakiwa





Takriban maafisa 15 wa Kenya pamoja na wafanyabiashara wamependekezwa kushtakiwa kuhusiana na madai ya wizi wa mamilioni ya madola zilizotolewa kununua vifaa vya kukabiliana na virusi vya corona.

Wachunguzi wamegundua jinsi zabuni za serikali zilivyotolewa kwa watu walio na uhusino wa karibu na wanasiasa na wafanyabiashara kinyume na masharti ya zabuni Kenya.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad