Serikali ya Marekani ina mipango ya kuwadhibiti wanafunzi kutoka nchi za Afrika Mashariki na kwingineko duniani, kwendelea na masomo kwenye vyuo vikuu nchini humo, kwa kuweka masharti mapya ya viza, ambayo yatadhibiti ukazi wao.
Marekani: Wanafunzi kutoka Afrika Mashariki ni kati ya walengwa wa masharti makali ya viza
0
September 26, 2020
Tags