FT: Simba 3-0 Gwambina FC
Uwanja wa Mkapa
Goal Mugalu dk 90+3
Zimeongezwa dk 3
Dakika 90 zinakamilika
Dakika ya 86 Gwambina wanapeleka mashambulizi kwa Manula
Dakika ya 70 Jimson anaingia anatoka Nonga wa Gwambina
Dakika ya 67 Bwalya anatoka anaingia Morrison
Dakika ya 66 Gwambina wanalifuata lango la Manula
Dakika ya 59 Yusuph Dunia anapiga faulo inakwenda nje kidogo ya 18
Dakika ya 54 Bwalya anachezewa faulo nje kidogo ya 18
Dakika ya 50 Wawa goal la pili kwa mpira wa adhabu nje ya 18
Dakika ya 46 Gwambina wanapeleka mashambulizi Simba
Kipindi cha pili kimeanza Uwanja wa Mkapa
Mapumziko
Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimekamilika
Simba 1-0 Gwambina
Ndani ya kipindi cha kwanza Gwambina imeweza kucheza kwa kujilinda zaidi huku kipa namba moja wa Gwambina Mohamed Makaka akiwa ni nyota kwa kuwa ameokoa michomo miwili ya hatari
Imeongezwa dakika moja
Dakika ya 45 mchezaji wa Gwambina anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 44 Luis anachezewa faulo hakizai matunda
Dakika ya 40 Goal Kagere
Dakika ya37 Gwambina wanapeleka mashambulizi Simba
Dakika ya 32 Gwambina wanapeleka mashambulizi Gwambina
Dakika ya 31 Kapombe anapeleka mashambulizi Gwambina
Dakika ya 23 Luis anapiga kona inaokolewa na kipa wa Gwambina
Dakika ya 22 Kagere anachezewa faulo karibu na eneo la 18
Dakika ya 19 Onyango anapeleka mashambulizi Gwambina
Dakika ya 18 Nonga anachezewa faulo
Dakika ya 17 Tshabalala anapeleka mashambulizi Gwambina
Dakika ya 16 Gwambina wanaokoa
Dakika ya 15 Kagere anafanya jaribio linakwenda nje ya lango.
Dakika ya 14 Bwalya anafanya jaribio linaokolewa na mabeki.
Dakika ya 9 Gwambina walipata kona haikuzaa matunda.
Simba 0-0 Gwambina
Uwanja wa Mkapa
Kipindi cha kwanza
MCHEZO unaoendelea kwa sasa Uwanja wa Mkapa ni kati ya Simba na Gwambina FC.
Kipindi cha kwanza kwa sasa na mashabiki wamejitokeza kwa wingi kuona ushindani ndani ya uwanja.