Mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta (27), amewasili katika mji wa Istanbul ili kukamilisha uhamisho wake wa mkopo kwa klabu ya Fenerbahce. Mchezaji huyo wa Tanzania alijiunga na Villa kutoka klabu ya Genk nchini Ubelgiji mwezi Januari na kufunga magoli 2 katika mechi 16