Baada ya watu wengi kuukosoa uigizaji wa Menina katika tamthilia ya Tandi,
Ray amejibu kuwa watu wampe muda mrembo huyo atakomaa tu kiugizaji sababu ndio ameanza,
Ray anasema.... Kuhusu Menina kuzungumza sana kiingereza Ni Sababu uhusika wa ndivyo ulivyomtaka!!