Kutoka Kwenye Ukurasa Wa CHUGGA QUEEN @mimi_mvrs11 Ameandika...
''Palipo na upendo hapana woga; naam, upendo kamili hufukuza woga wote. Basi, mtu mwenye woga hajakamilika bado katika upendo, kwani woga huhusikana na adhabu.”
1 Yohane 4:18
_
Ameyasema hayo Mimi Mvrs... Siku chache Diamond aliandika Ujumbe kuwa anampenda sana Mimi Mvrs Lakini Anaogopa na Hajui anafeli wapi - #regrann