Picha ya Jaquar na Mwanae Yazua Utata...Mashabiki Wamfananisha Mtoto wa Jaquar na Dylan wa Hamisa Mobetto


Ya Mtoto Wa @jaguarkenya Yazua Gumzo Instagram Baada Ya Mashabiki Kudai Mtoto Huyo Wa Jaguar Kafanana Na @dylandeetz Mtoto Wa Mwanamitindo Hamisa Mobetto Na Nyota Wa Muziki @diamondplatnumz


Achana Na Mtazamo Wa Hao Wengine, Vipi Wewe Ulivyoangalia Kuna Mfanano Wowote Baina Ya Watoto Hao Wawili?


Baadhi ya Comments za Wadau Kutoka Katika ya Mbunge Jaquar Kutoka Kenya:





Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad