Kagera Sugar ilyo nafasi ya 15 kwenye msimamo na pointi moja itamenyana na KMC iliyo nafasi ya kwanza na pointi zake tisa zote zikiwa zimecheza mechi tatu, Uwanja wa Kaitaba.
Mbeya City iliyo nafasi ya 18 ikiwa haijaambulia pointi itamenyana na Namungo iliyo nafasi ya 13 na pointi zake tatu, Uwanja wa Sokoine.