Web

Tafiti zisizo Rasmi : Mabinti wanaokaribia Umri wa Miaka 30 Wana Kiu ya ndoa

Top Post Ad



Tafiti zabaini kuwa Ma binti ambao wako Dakika za majeruhi wanakaribia kuinusa miaka 30 wana kiu kali ya ndoa, ukiwa nae kimahusiano hata kama mahusiano mabichi yana wiki mbili ataanza kauli za kuhusu ndoa, wako desperate sana. Yuko tayari kukupiga hata limbwata akuteke.

Inasemekana,Mabinti Hao ni hatari hata kudate nao mana wanakuwa na expectations nyingi sana hata kukudhuru kawaida sana ukionesha kwenda nje ya mstari.

Nini Maoni yako kuhusu Jambo hili, je linaukweli??

Below Post Ad

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.