The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti - Dr. Mwaka

The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti - Dr. Mwaka

Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa hali ya juu ili asiumize hisia zako.wanaume wasiochet ni wale wagonjwa na makasisi wacha Mungu tu. Wengine wooote tupa kule.

Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wanaume, Na ukweli unabaki palepale kuwa asilimia 99 ya wanaume wanatoka nje ya ndoa au mahusiano yao tena bila kuwa sababu ya msingi they just do haimaanishi kwa kufanya hivyo hawawapendi wake zao bali ni maumbile yao ndio yanawatuma hivyo. Kwahiyo kama umeolewa au una mpenzi ukimakamata na mwanamke mwingine usimhukumu kwa KUCHEAT bali mhukumu kwa KUCHEAT KIPUMBAVU mpaka akakamatwa wakati wenzake wanacheat na hawakamtwi.

najua kuna mikunguru minafiki itakuja hapa na kubisha ila ukweli ndio huo - By Dr JJ MWAKA
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yaa that is very true i ve have seen many you are 100% right hata uwafanyie nini lakini ikiwa una imani na mwenyezi mungu atapata shida mbeleni kwani hakuna utakacho fanya bila malipo so baba zatu kaka na waume zetu ogopeni aliwaumba na mama na dada zetu wenye kutwgea waume za watu tafuteni wenu na hata nyie malipo yapo

    ReplyDelete
  2. Hahaha,mfano wa kwanza ni yeye mwenyewe.

    ReplyDelete
  3. Yaaaaani, wakati mwingine tunatamani tuzikimbie ndoa kwa kuogopa magonjwa,inauma mtu unajichunga na sio kwamba hutakiwi bali ni heshima kwenye ndoa kwamba hutakiwi kutoka nje ya ndoa.
    Mfano-mume wa rafiki yangu ni mgonjwa (ukimwi) na ni malaya kwelikweli,mke kapima hana,hivi hapo jamani si unatamani useme ndoa basi,mtihani!

    ReplyDelete
  4. UMENIFURAHISHA KWA KUSEMA UKWELI 100%.

    ReplyDelete
  5. Nimeyasoma maoni ya Dokta wetu. Kwa bahati mbaya, hayana uthibitisho wowote wa tafiti aliyoifanya. Kwa upande wa taaluma, tunasisitizwa kuwa mtu haruhusiwi kuongelea jambo bila ya kuwa na uthibitisho wa tafiti iliyofanyika juu ya jambo hilo.

    Napenda kukiri kuwa, kwa mujibu wa tafiti chache nilizo zipitia, idadi kubwa ya wanaume wameonekana na tabia ya kutokuwa waaminifu, ikilinganishwa na wanawake. Jambo ninalo jiuliza hapa ni, Dokta wetu ameipata vipi hiyo asilimia 99?

    Lengo langu hapa ni kuonesha kuwa tuna tatizo la msingi katika jamii yetu. Tatizo hilo ni mfumo wetu wa elimu. Mfumo huo umekuwa ukizalisha watu ambao hatufikiri. Matokeo yake, maisha yetu yanaendeshwa kwa maoni ya wanasiasa, pamoja na watafuta umaarufu. Kwa mtazamo wangu, kundi kubwa katika hao hawana taaluma nzuri.

    Pengine wakati umefika sasa wa kuuliza maswali magumu juu ya mfumo wetu wa elimu; je, unakidhi mahitaji ya kijana wa karne ya 21? Kama jibu ni la, kipi kifanyike? Tusitegemee majibu yakapatikana bungeni. Huko ndiko kichekesho kikubwa. Je, unatarajia msanii waheshimiwa ambao baadhi yao elimu zao zina utata, wakaweza kuliongelea suala la taaluma?

    ReplyDelete
  6. ni kweli mtupu ila inategemea na tabia ya mtu na hulka yake na kutojiheshimu

    ReplyDelete
  7. Mmmh huo ni utafiti wako na ukoo wako ndugu sio wanaume wote mume wangu mimi hana cgembe ya usaliti na ninaamini hivyo si kwa kuiba sijui kwa uangalifu hana sijui kuiba kipumbavu hana hivyo...so usijumuishe wanaume wote kwenye ugunduzi wako wa kipumbavu

    ReplyDelete
  8. Huyu ana justify umalaya kwasababu anamtenda mkewe, hata wanawake wana maumbile ya kutamani kwahiyo akicheat na yeye alaumiwe kwa kukamatwa siyo? Mbona wanawake wakifanya the sama wanaume wanaumia mno? Hizo ndio double standards za kipumbavu ndio maana wazungu wanawabeba sana dada zetu kwasababu hatuna akili wala maadili.

    ReplyDelete
  9. Dr Mwaka hapo umechemka, nikweli usaliti upo lakin sio kwa takwimu zako.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad