Msanii wa muziki wa Bongo Fleva aliyopo kwenye lebo ya @kingsmusicrecords inayosimamiwa na @officialalikiba @tommyflavour amezungumzia kuhusu EP yake ambayo anatarajia kuiachia siku zijazo.
Mbali na hilo @tommyflavour amezungumzia ngoma yake mpya ya THE ONE na kuwaomba mashabiki kuendelea kusapoti muziki wake na wasanii wote wa Bongo Fleva.
Tommy pia amemshukuru msanii kutoka lebo ya #WCB @officialzuchu na kuthibisha kuwa yeye ni shabiki namba moja wa muziki wa @officialzuchu huku akiitaja ngoma ya #Wana kama ngoma yake bora kutoka kwa msanii huyo.
“Wimbo wa @officialalikiba #Midiocre ni mkubwa sana kwanza nilishangaa kuona @officialalikiba amebadilika hivyo na hivyo mi nimependa kuona anabadilikabadilika”