Wanamgambo 7 wa kundi la Boko haramu wameuawa katika operesheni Kaskazini mwa Nigeria.
Wanamgambo wa kundi la boko haramu wameuawa katika operesheni kali ilionedshwa na jeshi la Nigeria.
Operesheni kali imieendeshwa na jeshi la Nigeria katika eneo ambalo wanamgambo hao walikuwa wamekita kambi Kaskazini mwa Nigeria.
Msemaji wa wizara ya ulinzi nchini Nigeria John Enenche ametangaza kuuawa kwa kaanali mmoja wa kundi hilo katika operesheni ilioendeshwa na jeshi la Nigeria.
Operesheni kali imeendeshwa katika eneo la fukwe za ziwa Chad.
Msemaji huyo wa wizara ya ulinzi wa Nigeria emeendelea akisema kuwa wanamgambo wa kundi hilo wapatao wanne wamejisalimisha baada ya kuelemewa katika makabiliano na jeshi.
Taarifa zilizotolewa na jeshi la Nigeria zimefahamisha kuchoma moto kambi iliokuwa ikitumiwa na magaidi hao na kupokonya silaha zao.