Waziri mkuu mteule wa Lebanon ajivua jukumu la kuunda serikali



Waziri mkuu mteule wa Lebanon Mustapha Adib amejivua jukumu la kuunda baraza la jipya la mawaziri karibu mwezi mmoja wa juhudi za kupanga baraza la mawaziri lisiloegemea upande mmoja licha ya shinikizo la Ufaransa kwa viongozi wa pande za kisiasa nchini humo kuungana ili kulitoa taifa hilo katika mgogoro mkubwa.

Adib alisema kuwa anachana na jukumu la kuunda serikali, kufuatia mkutano na Rais Michel Aoun, baada ya juhudi zake kukumbwa na matatizo haswa kutokana uteuzi wa waziri wa fedha.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad