Zitto amvaa Kitila “anatumia ilani ya ACT''
0
September 06, 2020
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo Zitto Kabwe amesema kuwa ilani ya Chama chao imekuwa ikitumiwa na vyama vingine kwa kile alichodai imeandikwa kwa ustadi na kufanyiwa utafiti.
Zitto ametoa kauli hiyo leo wakati akizungumza na vyombo vya habari jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa baadhi ya wagombea wa Chama cha Mapinduzi wanatumia ilani yao katika kujinadi.
Aidha amesema kuwa wabunge wao zaidi ya hamsini wameenguliwa Nchi nzima, hivyo wana subiria majibu ya mapingamizi waliyotuma Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
“Ilani ya ACT Wazalendo inasemekana ndio bora kuliko zote, hata CCM wanatumia ilani yetu akiwemo Profesa Kitila Mkumbo mgombea Ubunge CCM Jimbo la Ubungo ambaye ameahidi kujenga Arena Wilaya ya Ubungo kitu ambacho ilani ya chama chake haina hilo wazo”, amesema Zitto.
Zitto pia ameongeza kuwa hana imani kama ni kweli wagombea wa upinzani pekee ndio wamekosea kujaza fomu za uteuzi wa kugombea nafasi za Ubunge na Udiwani.
Mkurugenzi wa Benki ya NCBA atembelea IPP Media | East Africa Television
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NCBA Margaret Karume, ametembelea ofisi za IPP Media kwa lengo la kujionea namna gani vyombo vyake vya ITV, Radio One, Capital Radio na TV, EATV & EA Radio na The Guardian vinavyofanya kazi zake.
EATV
ManFongo kutembea na msafara wa watu 300 | East Africa Television
Msanii wa singeli hapa nchini Manfongo amesema kuna muda alikuwa akipita mtaani kwao maeneo ya Tandale na Kijitonyama alikuwa anatembea na watu zaida ya 100 hadi 300.
EATV
Agnes Almasy kuzikwa Tanga | East Africa Television
Aliyekuwa Mwandishi na Mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy, anatarajiwa kuagwa kesho Septemba 4, 2020, Jijini Dar es Salaam na baadaye atasafirishwa kupelekwa jijini Tanga kwa ajili ya maziko.
EATV
Mtangazaji wa ITV, Agnes Almasy aagwa rasmi Dar | East Africa Television
Polisi yawataja waliochoma ofisi za CHADEMA Arusha | East Africa Television
Magufuli amtaka Lugola aendelee kula Samaki | East Africa Television
"Mkinichagua mtatibiwa bure" - Mgombea Urais NRA | East Africa Television
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoka chama cha National Reconstruction Alliance (NRA), Leopard Lucas Mahona, ameahidi kuwa endapo akipewa ridhaa na watanzania kuwatumikia katika Uchaguzi wa Oktoba 28, 2020, atahakikisha huduma za afya zinatolewa bure.
EATV
Majaliwa aeleza hakuna tatizo la Bima ya Afya | East Africa Television
TOP STORIES
CURRENT AFFAIRS
Nkurunziza afariki dunia, chanzo chatajwa
CURRENT AFFAIRS
RC Mbeya awatimua Kidato cha 5 na 6 awataka kurudi
ENTERTAINMENT
Seyi Shay ataja orodha ya wanaume alio-date nao
CURRENT AFFAIRS
Kama alivyosema Makonda ''Wameoga'' - Kamwelwe
MOST POPULAR
ENTERTAINMENT
Majibu ya Harmonize kuhusu tuhuma za kuanguka
CURRENT AFFAIRS
Mfahamu Waziri aliyekuwa anaenda kunyoosha Ulaya
CURRENT AFFAIRS
Magufuli amtaka Lugola aendelee kula Samaki
ENTERTAINMENT
Dada wa Shilole alivyoteseka kuolewa na Harmorapa
ENTERTAINMENT
Kilichotokea baada Dkt Magufuli kucheza singeli
ABOUT US
ABOUT USADVERTISEJOBSTERMS & CONDITIONSCONTACT USFREQUENTLY ASKED QUESTIONS
NETWORK
IPP MEDIAEAST AFRICA RADIOITVRADIO ONECAPITAL RADIOLOKOPROMO
© 2020 East Africa Television Limited. All Rights Reserved
Tags