Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Zitto Zuber Kabwe amesema October 3,2020 Vyama Vikuu vya Upinzani nchini vinataraji kufanya mkutano wa kumsimamisha mgombea Urais mmoja kwa Jamhuri ya Muungano ambapo katika mkutano huo wanaungana kuinadi Ilani moja na tayari vikao vya maamuzi vimeshafanyika.
“Mazungumzo yetu ya namna gani?, tutashirikiana vipi? yamekamilika October3, 2020 katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke DSM Vyama Vikuu vya Upinzani vitafanya mkutano wa hadhara kutangaza makubaliano tuliyofikia” Zitto Kabwe Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo
Dogo wa Nyakabiga, anawezaje kuingilia
ReplyDeleteSiasa za TZ.
Mhamiaji wa Kinyemela alie kuwa Dereva
sasa ni mwana Mwanga na Mwandiga..??
Inakuwa hio..?? manake Makakala sielewi kama Ninja Lugola kamwachia SimbaChawene alifanyie upitiaji.
Ukweli utabaki kuwa ukweli.
Wewe utamtapeli vp Membe. ule chake.
ReplyDeleteumfate kumpa Dili laa Urahisi. uvute chake halaffu KanyaBoya.
atakufungulia RB huko Lindi ulipompea Dili ya kanyaboya na ya Kitapeli.
Dogo wa Nyakabiga, anawezaje kuingilia
Siasa za TZ.
Mhamiaji wa Kinyemela alie kuwa Dereva
sasa ni mwana Mwanga na Mwandiga..??
Inakuwa hio..?? manake Makakala sielewi kama Ninja Lugola kamwachia SimbaChawene alifanyie upitiaji.
Ukweli utabaki kuwa ukweli.
Wewe utamtapeli vp Membe.?? ule chake.
ReplyDeleteumfate kumpa Dili la Urahisi. uvute chake halafu unampiga KanyaBoya.
atakufungulia RB huko Lindi ulipompea Dili ya kanyaboya na ya Kitapeli.
Dogo wa Nyakabiga, unawezaje kuingilia
Siasa za TZ.
Mhamiaji wa Kinyemela alie kuwa Dereva
sasa ni mwana Mwanga na Mwandiga..??
Inakuwa hio..?? manake Makakala sielewi kama Ninja Lugola kamwachia Simbachawene alifanyie upitiaji.
Ukweli utabaki kuwa ukweli.
Dogo kachemsha..!!! Kutokuelewa Sheria kanuni na taratbu za usajili wa vyama vya Siasa na Tume ya uchaguzi n tatizo lako.
ReplyDeleteJiongeze,ili uondokane na ....!! uropokaji na udandiaji.
Wa kuja kuzungumza hili na sisi wapiga
ReplyDeleteKura siyo wewe dogo.
Tunamuhitaji mgombea alie idhinishwa
kihalali na tume,baada ya kukidhi vigezo na Masharti.
Dogo una lielewa hilo..!!??
Kama ulizowea upelekeshaji siyo kwa
huyu Mzee na mwenzake kojani uwatoe katika Marathon njiani baada ya wewe kukosa Uwakilishi. Hamna cha bure, hata za Kigambooni na lile jiwe la kungara zote Utarudisha baada ya Nondo
Wa kuja kuzungumza hili na sisi wapiga
ReplyDeleteKura siyo wewe dogo.
Tunamuhitaji mgombea alie idhinishwa
kihalali na tume,baada ya kukidhi vigezo na Masharti.
Dogo una lielewa hilo..!!??
Kama ulizowea upelekeshaji siyo kwa
huyu Mzee na mwenzake kojani uwatoe katika Marathon njiani baada ya wewe kukosa Uwakilishi. Hamna cha bure, hata za Kigambooni na lile jiwe la kungara zote Utarudisha baada ya Nondo