Aliyosema Dkt Hussein Ali Mwinyi Leo Kwenye Mkutano wa Kampeni CCM


Kijana Mchapakazi, Mpole na Mwenye Maono makubwa ya Maendeleo na Kiuongozi ameendelea na Mikutano yake ya Kunadi Sera za CCM Visiwani Zanzibar. Ni Dkt Hussein Ali Mwinyi Leo Alhamisi Oktoba 22, 2020 amefanya Mkutano Mkubwa wa Kampeni Uliofanyika Dole, Zanzibar na haya ndiyo aliyoyaongea Kwenye Mkutano huo Mkubwa wa Kampeni. Zanzibar haitaki Maslahi, inaenda na Kijana mkakamavu na mwenye nguvu kubadirisha uchumi wa Zanzibar.


#YajayoniNeematupu

#Mwinyi2020










Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad