Miaka kadhaa iliyopita rapa B.o.B alitoa kauli ambayo iliushtua ulimwengu, ni nadharia kwamba dunia ni tambarare na sio duara kama inavyoelezwa kisayansi.
Kauli hiyo ya B.o.B ilianza kumletea madhara, amedai kuwa alianza kupata hofu ya maisha yake. Amesema kikawaida ukizungumza na kufichua vitu kama hivyo basi hakuna ambaye atakutazama kwa jicho zuri.
-
"Anybody that speaks truth to power or says controversial things ends up dead." B.o.B aliiambia HipHop DX