Anne Kilango Malecela ashinda kiti cha Ubunge Jimbo la Same Mshariki



Anne Kilango Malecela wa CCM ametangazwa mshindi wa kiti cha Ubunge Jimbo la Same Mshariki akipata kura 26,225 dhidi ya Naghenjwa Kaboyoka wa CHADEMA aliyepata kura 8,836.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad