Barbara Afunguka Kuhusu Chama Baada ya Kumaliza Mkataba




“Wanasimba wanapaswa kutulia, Chama haendi kokote. Kwa sasa bado ni mali ya Simba kwa vile mkataba wake unamalizika mwishoni mwa msimu huu, lakini pia mwenyewe ameonyesha nia ya kuendelea kusalia kikosini na tumeshaanza mazungumzo ya kusaini mkataba mpya”


“Mazungumzo hayo na wakala wake yapo pazuri na wakati wowote tutamalizana naye na kusalia katika timu yetu ambayo imepania kufanya vizuri katika michuano ya ndani na ile ya kimataifa” -:Maneno Ya  Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba sc Barbara Gonzalez


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad