NUKUU "Nimewahi kwenda kwenye show nikashangaa kila msanii ana 'bodyguards' wake, wengine wakaja na walinzi kama sita hivi, huwezi kuwa na walinzi wengi huku unadaiwa kodi ingawa sikasiriki nikimuona mtu anatembea nao,kujibrand sio lazima kuwa na walinzi wengi" - Christian Bella