BREAKING: NEC yamtangaza Dr Magufuli kuwa mshindi kiti cha urais
2
October 31, 2020
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dkt.John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa nafasi hiyo baada ya kupata kura 12,516,252 akifuatiwa na Tundu Lissu wa CHADEMA mwenye kura 1,933,271
Tags
Hongera Mwaha...!!!
ReplyDeleteMkulu.. tumekuamini kukupa nchi.
Kura zetu n Sauti tosha inayodhihirisha
imani yetu katika kututumikia.
Inshallah Allah akuhifadhi na Mahasidi
wa ndani na nje. na Vibaraka wao.
Leo baada ya Salat Al Maghrib tuna kuombea Dua kwa ALLAH. AKUHIFADHI NA
KUKUPA AFYA NA HEKMA KWA KIPINDI KIJACHO. NA WASAIDIZI WAKO WOTE.
HONGERENI WOTE WACHAGULIWA JIPANGENI
NA MTANGULIZENI MUNGU KATIKA YOTE.
Hongera Rais Magufuli,,,ila nimemis instagram🙄
ReplyDelete