Breaking News: Askofu Josephat Gwajima aibuka kidedea kiti cha Ubunge jimbo la Kawe



Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kawe amemtangaza Askofu Josephat Gwajima wa CCM kuwa mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa kura 194, 833 akifuatiwa na Halima Mdee mwenye kura 32, 524.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad