HomeSiasaEster Bulaya apoteza ubunge Bunda Mjini Ester Bulaya apoteza ubunge Bunda Mjini 2 Udaku Special October 29, 2020 Ester Bulaya amepoteza jimbo la Bunda Mjini baada ya kushindwa na Robert Maboto wa CCM aliyepata kura 31,129 huku Bulaya akipata kura 13,258 Tags Siasa Newer Older
Ester's poleni...!!
ReplyDeleteWatanzania Tumeamua na tumepaza sauti
zetu.
Mjifunze kuwa tulipo kupeni Ridhaa ilikuwa mtutumikie kutuletea maendeleo
na siyo Malumbano ya kamanda komaa.
Tanzania Oyeee. Tumetambua na Kujitambua.
Mungu ibariki nchi yetu na watu wake.
Sasa uingie Lockdown.
ReplyDeleteitakusaidia kiakili na kiafya.
pia kuondoa aibu yako kwa wana Bunda.
Heche anaomba kazi already ya Utingo.
uchaguzi ni wake.. Shabiby au Msukuma buses. Je wewe Ualimu amekuachia?
una uweza.?
Uamuzi wa wana Bunda ni kielelezo tosha cha Utoro na ukosefu wa Adabu na Nidhamu.
Bunda Oyeeee...!!!