Festo Sanga aibuka mshindi kiti cha Ubunge Jimbo la Makete



 Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Makete, amemtangaza Mgombea Ubunge jimbo hilo Kupitia (CCM) Festo Sanga kuwa mshindi kwa kupata kura 24,237 akifuatiwa na Ahadi Mtweve (CHADEMA) mwenye kura 5077 na Grace Jekela (NCCR) kura 981.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad