Kufuatia mgogoro wa kisiasa nchini Kyrgyztan rais wa nchi hiyo amejiuzulu ili kurejesha utulivu baada ya siku kadhaa za maandamano yakimtaka kuachia madaraka.