Waandaaji wa tuzo za GRAMMY wameweka wazi tarehe ya kutangaza vipengele na washiriki watakaowania tuzo hizo za Grammy kwa mwaka 2021
Grammy Wameitangaza November 24, 2020 Ndo Siku Rasmi Ya Kutangaza Vipengele Hivyo Ili Kuanza Mchakato Wa Upigaji Kura
na tuzo hizo zitatolewa January 31, 2021
NB: Grammy Ndo Tuzo Pekee Zenye Vipengele Vingi Duniani Vipengele zaidi ya 84