Mpaka hivi sasa Chama tawala CCM kimeshinda zaidi ya viti 188 vya Ubunge Tanzania nzima huku Upinzani wakishinda viti viwili tu yaani CHADEMA kiti kimoja Nkasi na CUF kiti kimoja Mtwara vijijini.
Wafuatao ni Wabunge 28 wa Chama cha Mapinduzi CCM ambao walipita bila kupingwa au kwa Lugha nyingine, walikua ni Wagombea pekee katika Majimbo yao baada ya Wagombea wa Vyama vingine kushindwa kusimamisha Wagombea au kutotimiza vigezo vya Kugombea .
HAWA NDIO WABUNGE 28 WA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM , AMBAO WALIPITA BILA KUPINGWA .
1. Job Ndugai (Kongwa)
2. Cosato Chumi (Mafinga Mjini)
3. Isaack Kamwele (Katavi).
4. Nape Nnauye (Mtama)
5. Kassim Majaliwab (Ruangwa)
6. Pauline Gekul (Babati)
7. Daniel Sillo (Babati Vijijini,)
8. Jummane Sagini (Butiama)
9. Ahmed Shabiby (Gairo,)
10. Prof Palamagamba Kabudi (Kilosa)
11. Godwin Kunambi (Mlimba)
12. Innocent Kalogeris (Morogoro Kusini)
13. @babutale (Morogoro Kusini Mashariki).
14. Jonas Van Zeland (Mvomero)
15. Alexander Mnyeti (Misungwi)
16. Joseph Kamonga (Ludewa)
17. Enos Swale (Lupembe)
18. Ridhiwani Kikwete (Chalinze)
19. Kandege Sinkamba (Kalambo)
20. Joseph Mhagama (Madaba)
21. Iddi Kassim (Msalala).
22. Elias Kwandikwa (Ushetu)
23. Eng Godfrey Kasekenya (Ileje)
24 Philipo Mulugo (Songwe)
25. Rehema Migila (Ulyankulu).
26. @hamisi_kigwangalla (Nzega Vijijini)
27. @jmakamba (Bumbuli)
28. Juma Aweso (Pangani)