Hii ni Kali...Godbless Lema Chali Arusha..Mrisho Gambo Amshinda

 


Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Arusha Mjini amemtangaza Mrisho Gambo wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge katika Jimbo hilo kwa kura 82,480 akifuatiwa na Godbless Lema (CHADEMA) mwenye kura 46,489.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad