Kamati ya Sheria na Nidhamu ya Yanga SC imemsimamisha uanachama mwanachama wa klabu hiyo, Bahati Mwakalinga ‘Mama Manji’ kwa kosa la kusema uongo na uchochezi dhidi ya Mwenyekiti wake, Dkt. Mshindo Msolla kati ya mwezi Juni na Julai mwaka huu.