Timu ya Wananchi Yanga SC, imemteua Beki ‘kisiki’ Lamine Moro kuwa Nahodha mpya wa klabu hiyo akisaidiana na Bakar Mwamnyeto pamoja na Mukoko Tonombe.