“Huu mradi wa Mbezi Luis Stand niliidhinisha Bil 51 leo ninaambiwa Bilion 71, inawezekana hiyo kazi iliyoongezwa ni muhimu, Waziri ameniambia kuna Daraja, sasa Daraja la kucost Bil 21 nitaliangalia, bahati nzuri nimekaa kwenye Wizara ya ujenzi miaka 20”- JPM