Mimi Mars Aonesha ‘Mahaba’ Kwa Blue



MREMBOanayefanya poa kunako anga la Bongo Fleva, Mariane Mdee ‘Mimi Mars’ amefunguka kwamba, kwa upande wa wasanii wa kiume anaowazimia, humwambii kitu kwa Khery Sameer Rajab ‘Mr Blue’.


Akizungumza na Risasi Vibes, Mimi Mars amesema kuwa huwa anampenda Mr Blue kwa sababu ni msani ambaye anaishi maisha yake na hana skendo.

“Kwa Mr Blue jamani huniambii kitu kiukweli nampenda sana kwa sababu ni msanii ambaye hafeki maisha, anaishi anavyotaka yeye siyo watu wanavyotaka, kingine anaujua muziki,” alisema Mimi Mars

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad