Mtoto wa Mfalme Atuhumiwa Kuhusika na Mauaji ya Khashoggi....

 


Hatice Cengiz amefungua jarada Mahakamani ili kumshtaki Mohammed Bin Salman kwa kutoa amri ya kuuawa kwa Mpenzi wake, Jamal Khashoggi mwaka 2018


Jamal #Kashoggi alikuwa Mwandishi na mshauri wa Serikali ya Saudi #Arabia hadi alipoanza kuwa mkosoaji mkubwa Serikali hiyo


Jamal aliuawa alipokwenda Ubalozi wa Saudi Arabia ili kuomba kibali cha kumuoa Hatice Cengiz. Mwaka 2019 Mahakama ya Riyadh iliwakuta na hatia watu 3 kwa kuhusika na mauaji hayo


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad