Mwigizaji Rammy Galis ametuonesha picha za muonekano wake mpya akiwa amevalia vazi lililoibua mjadala, kutokana na mshono wake kutafsiriwa kuwa ni Nguo ya kike.