Producer Luffa Afunguka GONJWA Lililokuwa Linamsumbua


Mtayarishaji wa muziki hapa nchini, Luffa amefunguka mengi juu ya kuumwa kwake, kwenye mahojiano na Planet Bongo ya East Africa Radio leo amesema

"Niliumwa kama miezi 8, nilikuwa nasumbuliwa na ugonjwa wa 'Appendix' na pafu moja lilikuwa limejaa maji ila namshukuru Mungu sasa hivi nime-recover" - Producer Luffa

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad