Denis Lazaro wa CCM ameshinda kiti cha ubunge akipata kura 31,411 (62.7%) dhidi ya Joseph Haule wa CHADEMA. Pia kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi katika jimbo hilo, CCM imeshinda udiwani katika kata zote 40.
Prof.J apoteza ubunge jimbo la Mikumi, Denis Lazaro wa CCM ashinda
0
October 29, 2020
Tags