Rais Magufuli "Nawashangaa Wanaosema Simpendi Rambo"
0
October 23, 2020
“Nataka niwaambie Gambo sikumfukuza u-RC na bahati nzuri Gambo aliniomba, akaniambia mzee nimeiona Arusha inaenda vibaya ninaomba nikaikomboe, nikamuambia nenda na Mungu akusaidie, sasa ninawashangaa wanaosema Gambo simpendi”- Dkt Magufuli Mgombea Urais kupitia CCM
Tags