Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la kisarawe Ndugu Mussa Gama ametangaza matokeo ya Uchaguzi.
Wapiga kura walio andikishwa ni 82,735
Walio piga kura ni 32,646
Kura Halali ni 31,971
Kura zilizokataliwa ni 675
Walioshiriki Wagombea
1. SELEMANI JAFO CCM Alama 2,6739
2. Asha Chuma DP Alama 175
3. BARAKA NANDONDE CHADEMA Alama 2,402
4. ZAVALA MUSSA ACT wazalendo Alama 616
5. KHADIJA DIKULUMBALE CUF Alama 2,039
Hata Hivyo Chama cha Mapinduzi CCM Kimeshinda kata 17 zote za Halmashauri ya Wilaya Kisarawe