Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Buchosa, Crispin Luanda leo Oktoba 29, 2020, amemtangaza Mgombea Ubunge wa Jimbo la Buchosa kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo James kuwa mshindi wa ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 79,950 sawa na asilimia 85.15 ya kura zote zilizopigwa huku CCM pia ikishinda udiwani kata zote 21 za halmashauri hiyo ya Buchosa.
Wapiga kura walioandikishwa 209,412
Kura zilizopigwa 93,890
Kura halali 92,213
Kura zilizokataliwa 1,673
MATOKEO
Abbas Mayala (Chadema) –kura 11,285
Eric Shigongo – kura 79,950
Precedius Luhabuza (ACT – Wazalendo) – 637
Felician Lutandula (CUF) – kura 317
Abbas Mayalla (Chadema) kura 11,285.