Sirro Aagiza Lissu Aripoti Polisi

MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, amemtaka mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu kuripoti kituo cha Polisi Moshi Kilimanjaro, kutokana na kitendo anachodaiwa kufanya cha kukaripia, kuwagombeza na kugombana na viongozi wa polisi.

“Nimeona viongozi wa Chadema wanakaripia askari wangu, Tundu Lissu anakaripia watu wangu, namuonya sana, jana nimeongea na Freeman Mbowe, akae azungumze na watu wake watii sheria bila shuruti.

“Lissu hayupo juu ya sheria polisi tukiamua kutimiza wajibu wetu asilalamike na chama chake, yeye hana uwezo wowote wa kupambana na jeshi la polisi,” amesema Sirro.

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kilaza huyu, Si Kibaraka tuu...!!!

    Anaelewa kuwa mara baada ya Kubwabwaja anahitajika Kisutu
    na anayo mipango ya kuondolewa kinyemela kwa njia za panya kurudi kwao. Tuwe makini.

    Na Jamuhuri ikituwakilisha sisi wananchi, muanze kukusanya
    matamko na uthibitisho kwa wote wanao tumia Lugha za Udhalilishaji kwa maOfisa wetu wa serikali OCD/ACP wakurugenzi anao tumia Lugha za Kuudhi juu yao.

    kumbuka wahenga walinena. ASIYEFUNZWA NA WAZAZI.....!!!
    sasa umemuharibu hata Salumu Mwalimu lugha.

    Afande uko vizuri kumwita huyu Mkosefu wa Adabu.
    Inaelekea, Medula blongata yake, Dozi zimemzidi nguvu na mwili unashindwa kuhimili.

    Uzuri ni kwamba, MIREMBE IKO KARIBU. TAFADHALINI MSAIDIENI.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mdau, Nia lengo lake ni Uovu.

      Usani wao tumesha wastukia.

      Arudishe watoto wake kwanza toka kwa hao wanao wafadhili. Ughaibuni na Sina uhakika kama chanzo cha kipato chake kilihakikiwa.?? Au ndio Mashostiii.!!

      Delete
  2. Jamani huyu Dogo, Tundu si aliwahi kuwa na Shangazi alie
    Futwa hivi karibuni. sasa huu ndio Ustaarabu..??

    Kibaraka huyu, Si anapelekeshwa tu! Hajitambui wala kutambua

    Anaelewa kuwa mara baada ya Kubwabwaja anahitajika Kisutu
    na anayo mipango ya kuondolewa kinyemela kwa njia za panya kurudi kwao. Tuwe makini.

    Na Jamuhuri ikituwakilisha sisi wananchi, muanze kukusanya
    matamko na uthibitisho kwa wote wanao tumia Lugha za Udhalilishaji kwa maOfisa wetu wa serikali OCD/ACP wakurugenzi anao tumia Lugha za Kuudhi juu yao.

    kumbuka wahenga walinena. ASIYEFUNZWA NA WAZAZI.....!!!
    sasa umemuharibu hata Salumu Mwalimu lugha.

    Afande uko vizuri kumwita huyu Mkosefu wa Adabu.
    Inaelekea, Medula blongata yake, Dozi zimemzidi nguvu na mwili unashindwa kuhimili.

    Uzuri ni kwamba, MIREMBE IKO KARIBU. TAFADHALINI MSAIDIENI.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad