Sirro Awaonya Watakaojitangazia Matokeo



MKUU wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro,  pamoja na kuwahimiza askari wa jeshi hilo kutimiza wajibu wao kwa kuhakikisha wanatenda haki na kufuata taratibu zilizopo, ametoa onyo kwamba wenye mamlaka ya kutangaza matokeo ni NEC na ZEC na si mtu mwingine yoyote.


 


 


Akizungumza na waandishi wa habari hii jana Oktoba 20, 2020, visiwani Zanzibar amesema kazi ya jeshi la polisi ni kuhakikisha wanasimamia sheria na Watanzania wanafanya uchaguzi kwa amani ambapo pia amewataka wadau wa uchaguzi kutimiza wajibu wao ipasavyo bila kuvunja sheria.


 


“Tume ya uchaguzi itimize wajibu wao, viongozi wa siasa watimize wajibu wao na kubwa zaidi nazungumzia hili la kusema kuna baadhi ya kikundi cha watu wamesema watatangaza matokeo hiyo imenishangaza kidogo,’’ amesema IGP Sirro.


 


IGP Sirro ameongeza kuwa viongozi wa siasa wanatakiwa kufuata sheria ambapo pia amewakumbusha kwamba

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad