Uingereza: Pande zote zina mpango wa biashara wa Umoja wa Ulaya




Naibu Waziri wa Fedha wa Uingereza, Stephen Barclay amesema mpango wa biashara wa baada ya Ungereza kujiondoa katika Umoja wa Ulaya-Brexit ni takwa la pande zote, lakini unaweza kufanikiwa tu, endapo Umoja wa Ulaya utaheshimu uhuru wa kimipaka kuhusi uvuvi. 

Akizungumza na shirika la utangazaji la Sky News waziri huyo mdogo amesema mkataba unapaswa kuakisi ukweli wa taifa hilo kuondoka katika umoja huo kwa namna ya kupata haki ya kudhibiti wao. 


Mjadala kuhusu mipaka ya uvuvi ulikuwa muhimu sana kwa wafuatiliaji katika kipindi cha majadiliani ya Brexit.


Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad