Aliye kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la kawe kura za maoni Chama Cha Mapinduzi CCM ,ADVOCATE Methusela Gwajima ,Katika ukurasa wake wa Twitter ameandika akimtakia heri ya siku ya kuzaliwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt Jakaya Mrisho Kikwete, Gwajima ni kada wa CCM pia ni wakili wa kujitegemea.
"Rafiki yangu! Wewe umekuwa mtu mwema sana ktk maisha yangu ! Umekuwa rafiki wa kweli, mkarimu, mnyenyekevu na mwepesi wa kufika hata nyumbani kwangu pindi ninapopata matatizo ! Hivi kweli mtu wa namna hii, kwa nini mimi ADVOCATE GWAJIMA , nisikutakie Happy birthday" ameandika Gwajima