Wanasayansi Watahadharisha Kuhusu MLIPUKO wa Volkano DR Congo

 

Wanasayansi Watahadharisha Kuhusu MLIPUKO wa Volkano DR Congo

Wanasayansi wametahadharisha kuhusu hatari ya Mlima Nyiragongo uliopo Goma, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo kulipuka

Mlima huo ulilipuka kwa Volkano Januari 2002, na kusababisha vifo vya watu 250 na uharibifu wa 20% ya Mji wa Goma

Dario Tedesco, Mtaalamu wa Volkano na Milima amesema ipo hatari ya mlima huo kulipuka tena. Na itakuwa ni ya hatari zaidi duniani

Tathmini inaonesha kuwa hatari kubwa zaidi ya mlima huo itatokea ndani ya kipindi cha miaka 4, lakini tetemeko la ardhi linaweza kusababisha mlipuko mapema zaidi

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad