Wazazi Chukueni Hili..Umri wa Kubalehe Watoto Umebadilika Siku Hizi, Chris Mauki Afunguka


"Elimu ya kimahusiano inaanzia kwa mtoto mwenyewe kujitambua na bahati mbaya wazazi wanakuwa waoga kuwafundisha watoto wao hivyo inabidi wamtumie Shangazi kuongea na watoto wao. Wazazi wengi wanafikiri kwamba ule umri wa balehe uko vilevile kama zamani mpaka leo wakati tafiti zinasema mambo yamebadilika kuanzia mwaka 2000 umri wa balehe umeshuka almost 4 years chini, zamani ilikuwa miaka 15 au 16 umri wa balehe lakini sasa balehe inawakuta wakiwa mpaka na miaka 9.

Watoto wengi wanapata elimu ya mahusiano na kujitambua wakati wapo shuleni wakati kikawaida elimu hii ilitakiwa kuanzia nyumbani kisha shuleni" @chrismauki_ 

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad